Amani iwe nanyi?
Nilikua kwenye mahusiano ndani ya miaka miwili , mwanamke wangu alipata ujauzito lakini akawa analazimisha sana kutoa nikamuuliza kwanini akaniambia hawezi kubeba mimba kabla ya ndoa maana itakua ni fedheha kwenye familia yao.
Akapeana ushauri na rafiki yake wakafanya maamuzi...