Wajanja wote wanatumia VPN, wanarekodi kila mnachokizuia na kukisambaza.
Sasa huu uzuiaji mnaoufanya ni upi, maana kila kitu kiko hadharani, zaidi mnawazuia wauza maandazi na dagaa mchele wanaotumia Mkongo wa TTCL hamkomoi yeyote mwenye akili timamu na mnapoteza muda bure.
Fanyeni mambo yenye...
Katika muongo uliopita, serikali barani la Afrika zimeendelea kushika madaraka kwa nguvu kwa kudhibiti haki za binadamu mtandaoni na nje ya mtandao.
Kwa kuongezeka kwa mahitaji ya uwajibikaji na utawala bora, watu katika nchi kadhaa wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii ambayo yamekuwa...