kuwajibisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni utaratibu wa kuwajibisha Precision Air Tanzania

    Karibu miezi miwili sasa nimekumbana na kazia mbovu ya huduma kwa wateja kutoka kampuni ya ndege ya Precision Air. Tofauti na sera yao ya utaratibu wa kurejesha pesa kwa safari iliyohairishwa na kutolewa report ndani ya wakati ndani ya week 2, jitihada za kuwasiliana na huduma kwa wateja...
  2. JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
  3. JamiiForums Tanzania Imihigo: Mfumo wa Kuwawajibisha Viongozi wa Tanzania

    Umewahi kujiuliza kwanini miradi mingi mtaani kwetukama barabara, ujenzi wa madarasa, au usambazaji wa umeme na maji inachelewa sana, alafu kiongozi aliyefeli anahamishwa tu kituo cha kazi badala ya kuwajibishwa? Kule jirani zetu Rwanda kuna mfumo wa kijasusi wa utendaji kazi unaitwa Imihigo...
  4. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliyo bora: Tunahitaji sheria bora, inayosimamia na kuwajibisha

    Ili kujenga taifa tulitakalo na kufikia ndoto za wengi, ni lazima tukabiliane na matatizo yaliyomo ndani ya nchi yetu kwa kuboresha na kusimamia sheria. 1. Uwajibikaji wa viongozi katika kusimamia rasilimali za umma pamoja na uongozi. 2. Kuundwe sheria, au kuwe na utekelezaji wa sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…