Nimemsikiliza kwa makini sana Waziri Ummy Mwalimu akipigia chapuo makato ya miamala na kusema tutaenda kujenga shule, mara barabara za vijijini mara sijui hospitali.
Ummy ameyazungumza haya saa chache tu kabla ya Raisi Mama Samia kuingilia Kati.
Hivyo sasa hivi Waziri Ummy atabadili tena gia...