CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao.
Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu...