Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina!.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yetu mkubwa, aliyeitwa kule. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kuitwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee!, ndie aliyetoa, kisha...