kutokana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiwa nje usiwaamini ndugu Bongo, ndoto ya kurudi nyumbani mazima imefifia kutokana na ujenzi hafifu

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani. Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
  2. Mfamasia Mkuu: Tanzania ina 59.8% ya Wagonjwa wasiyotibika kutokana na Usugu wa Dawa

    Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daud Msasi ametaja sababu kuwa ni matumizi yasiyosahihi ya dawa ikiwemo kutomaliza dozi na kushirikiana dawa kwa wagonjwa bila maelekezo ya wataalamu. Amesema matumizi holela ya dawa nchini yameongeza idadi ya vifo, ugumba na magonjwa ya figo huku homa za matumbo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…