kuthibitisha taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abella Bateyunga: Tumia JamiiCheck kupata msaada wa kuthibitisha taarifa

    Unapohitaji msaada wa kuthibitisha Taarifa tembelea JamiiCheck.com kama anavyosisitiza Abella Bateyunga, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Bora Initiative, ili kupata Taarifa sahihi na kwa wakati.
  2. JamiiCheck hushirikisha wananchi, huwajengea uwezo wa kuthibitisha taarifa

    Akizungumza kupitia kituo cha luninga cha Crown TV Septemba 05, 2025 Innocent Mangu kutoka Idara ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa ya JamiiAfrica amebainisha kuwa katika mchakato wake JamiiCheck inashirikisha wananchi, pamoja na kujengea uwezo makundi yote namna ya kuthibitisha Taarifa na...
  3. Prof. Kabudi: Tuna changamoto ya upotoshaji, watumiaji wa taarifa huziamini bila kuthibitisha

    Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi inakukumbusha kuwa kabla ya kuamini na kusambaza Taarifa unayokutana nayo ndani na nje ya mtandao ni muhimu Kuithibitisha Uhalisia wake ili kuepusha Taarifa Potofu. Unapohitaji msaada wa Uthibitishaji Taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…