kusimamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia Famasi mkoani Morogoro

    Mimi ni mfamasia nipo Morogoro, nahitaji kupata famasi ya kusimamia ndani ya Morogoro. Mawasiliano: 0768320534
  2. JamiiForums Tanzania Mtaala wa Elimu ya Taifa unairuhusu TAMISEMI ngazi ya Mkoa kuratibu na kusimamia shughuli za Shule ikiwemo ratiba za masomo

    Habari Wanabodi! Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu Askari alitusaidia sana kusimamia misingi na haki

    Chanda chema huvikwa pete. Huo ni msemo wa wahenga. Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar. Hakuwa mtetezi wa waharifu, hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno. Chonde chonde Rais Samia tuletee huyu mama atuvushe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…