Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.
Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop...