Shirika la uchunguzi wa mambo mbalimbali ya anga za mbali duniani ambalo linapatikana nchini Marekani NASA hatimaye siku ya jana wameweza kutangaza majina manne ya wanaanga watakao hudumu kwenye mission ya kurudi mwezini Artemis II
Ilikuwa ni jambo la furaha kwa wanaanga hao maana ilikuwa ni...