Wanaume hawapati hedhi. Hedhi ni mchakato wa kibayolojia ambao hutokea kwa watu walio na mifumo ya uzazi ya mwanamke, kwa kawaida huhusisha umwagaji wa kitu kinachoitwa "UTERINE LINING" .
Inaendeshwa na mizunguko ya homoni ambayo huandaa mwili kwa ajili ya ujauzito ambao ni maalum kwa...
Wakuu habari.
Mwanamke wangu aliniambia kuwa mwezi huu hajaona siku zake tukasema tusubiri kidogo labda zimechelewa, lakini amekuja kuniambia ameingia period ila nikihesabu ni siku ya 43 au 44 hivi tokea aingie period ya mwisho, ananiambia na zinatoka sio za kawaida ni kama nyeusi zilizokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.