Topic: Upgrading Driving License Classes (Kutoka B na D kwenda C1, C2, na C3)
Habari wakuu,
Ningependa kujua kwa undani process za kuongeza madaraja ya leseni ya udereva. Kwa sasa nina madaraja ya B na D, lakini nataka kuongeza C1, C2, na C3 ili niweze kuendesha magari yenye madaraja ayo niliyo...