kupanda daraja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Uzembe wa kuhamisha mishahara na changamoto ya kupanda daraja

    Kwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe kazi zako, Sasa hapa changamoto ni kwamba mkuu anakwambia mimi siwezi kukupitishia kazi zako ikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

    Niende kwenye hoja. Nimekuwa busy kusubiri daraja jipya wiki 2 saaa. Kila saa naangalia Mfumo. Nilipanda mwaka 2021, Juni tarehe 1, kutoka E kwenda F. Sasa nasubiri kwa hamu...sasa zaidi presha niliyonayo naona wanaodai wameshaona tofauti kwenye profile ya mfumo. Je nyie watu sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…