Waislamu kutoka maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam asubuhi ya leo Oktoba 25, wamefika katika Msikiti wa Nurul-Hikma ulioko Mtaa wa Yombo, karibu na Mwembe Yanga, Temeke kwa ajili ya Kongamano la Amani na Dua Maalumu ya Kuliombea Taifa.
Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, waandaaji wa dua na...
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu katika Kata ya Ilala, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2025 wamefanya dua maalum kuiombea Tanzania amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
Akizungumza katika dua hiyo, Mbunge wa Ilala aliyemaliza muda wake ambaye pia ni anagombea tea...
Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.
Akizungumza wakati wa Kikao cha...
Viongozi wa dini mbalimbali nchini wanatarajiwa kufanya Tamasha kubwa la Maombi ya kuombea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Akizungumza na vyombo vya habari Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo amesema tamasha litafanyika...
Zikiwa zimebaki wiki chache kufikia Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 linaloandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Zainabu Katimba naye ametoa neno.
Naibu Waziri huyo amewaomba viongozi wa dini pamoja...
Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo.
Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
Wakati maandalizi ya Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 yakipamba moto wake, hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan nayo imekazia amani na utulivu kipindi cha uchaguzi.
Akihutubia kwenye Baraza la Eid El Fitr kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar...
Wakati siku za kufanyika kwa Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 zikikaribia, baadhi ya wadau wameshauri kuwa, tamasha hilo lihusishe waumini wa imani zote.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao wapenda amani walisema kuwa, endapo tamasha hilo litahudhuriwa na watu wa imani moja...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae...
alex
alex msama
ataka
chafu
kampeni
kuandaa
kuelekea 2025
kuombeauchaguzimkuu
lugha
mkuu
siasa
tamasha
uchaguziuchaguzimkuuuchaguzimkuu 2025
umoja
viongozi
viongozi wa vyama
vyama
vyama vya siasa
wakati