kunywa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kunywa maji wakati wa Ujauzito

    Ninywe Maji Kiasi Gani Kila Siku Wakati wa Ujauzito? Uhitaji wa maji wakati wa ujauzito ni mkubwa zaidi ili kuhakikisha mfumo wa mwili unaosimamia maisha ya viumbe wawili unafanya kazi vizuri. Ijapokuwa utofauti upo wa kiasi gani cha maji unywe kwa siku kutokana na sababu mbalimbali kama aina na...
  2. JamiiForums Tanzania Hatua za kukabiliana na joto la Dar es Salaam

    Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda. Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…