kunyimwa unyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wake zenu wanawapa unyumba kwa kunung'unika kama huyu wangu?

    Tumsifu Yesu Kristo. Huyu mke wangu kila nikimuomba unyumba atalalamika mara aseme "Baba J" umeanza usumbufu wako. Mara aseme kachoka, mara aseme yuko Period kumbe sio kweli, mara aseme hajisikii vizuri, mara aseme ana usingizi. Yaani mimi tendo la ndoa napewa kama hisani wakuu. Je, na nyie...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu ambazo hufanya wanandoa kunyimana tendo la ndoa kwa makusudi, changamoto zake na madhara yake

    SABABU 10 AMBAZO HUFANYA WANANDOA KUNYIMANA TENDO LA NDOA KWA MAKUSUDI, CHANGAMOTO ZAKE NA MADHARA YAKE Katika maisha ya ndoa, tendo la ndoa sio tu suala la mwili bali pia ni daraja la ukaribu wa kihisia, kuaminiana, na kuimarisha upendo kati ya wanandoa. Pale ambapo mmoja wa wanandoa anaanza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kunyimwa unyumba ni kubwa sana ila wanaume wanaogopa kuwa wawazi, na ndio sababu kubwa ya nyumba ndogo kushamiri

    Hili ni tatizo kubwa sana ila wanaume wengi wamekuwa waoga kuweka wazi, unamkuta jamaa ni pande la jitu lakini room anaenda mwezi hapewi show, kuyaweka mambo haya wazi ni kitu ambacho kwa tamaduni zetu za kiafrika ni stigma, ni sawa na kulalamika mke wako anakupiga, utachekwa. Lakini ukweli...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Huwa tunakuwa wanafki kuonekana wema lakini suluhisho la kunyimwa unyumba muda mrefu na kukosa watoto ni kuongeza mke au kuvunja ndoa

    Imekuwa too much sasa, mara kwa mara naona wanaume wakilalamika kunyimwa unyumba muda mrefu, pia kumekuwa na ongezeko la ndoa nyingi zenye miaka 5+ kukosa watoto. Kama ni mwanaume -Ongeza mke -Vunja ndoa oa mwengine Kama ni mwanamke -Omba talaka uolewe upya Tuache kujifanya wema kwa unafki...
  5. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini siku hizi ni nadra sana kunyimana mapenzi isipokuwa ndani ya ndoa tu ndio unaweza kunyimwa live unajiona?

    Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa hata mwenye ndoa mwenyewe ananyimwa na anaweza kupewa kwa mbinde sana au kwa ratiba na masharti...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!

    Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu 10 za mwanaume kunyimwa unyumba

    1,Kinyaa,mwanamke anajitahidi anampa mmewe penzi lake bila tatizo ila baadae utaona au utasikia anatoka na mwanamke mwingine mchepuko,unawaza yaani hili limwanaume silinyimi kitumbua linaenda huko linachoma huko tena lije kwangu lichome humu na dudu lake lile lile bora angekuwa na madudu...
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kunyimwa unyumba au tendo la ndoa? Ulifanyaje?

    Unyumba au tendo la ndoa ni kitu cha ajabu sana, unaweza ukapewa sababu kama kudanganywa hivi ili utulie tu, na mwingine akakupa sababu ya kuumwa au kuchoka ukamuelewa sana tu. ila makusudi tu akaamua kukutolea nje huyo ni demu wako, mkewako au awara. ULIFANYAJE BAADA YA KUNYIMWA
  9. JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    Habari za Pasaka aisee? Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji. Shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima nitaathirika moja kwa moja. Inshu iko hivi, nina mke na mtoto moja, nimekuwa kwenye mahusiano na mke wangu...
  10. JamiiForums Tanzania Kunyimwa tendo la ndoa kunakera sana

    Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaishi na wachumba zao au wanaishi na mpenzi wake au anaishi na mwanamke tu. Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa bila sababu na baridi hii kali na mvua inanyesha kali sana? Mwanamke kubana kutoa penzi? Kwa kweli swala hili linakera sana sana...
  11. JamiiForums Tanzania Mke wangu ananinyima tendo la ndoa! Nifanyeje?

    Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'.... ***************************** Mimi na mke wangu tumekuwa katika ndoa yapata miaka mi 3 sasa! Hali ilikuwa ni nzuri kwani tulikiuwa tunakula tunda kila siku angalau asubuhi kamoja na jioni kabla ya kulala kamoja! Siku hizi hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…