Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia:
1. Matumizi Yako Ni Yapi?
Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming – chagua yenye nguvu zaidi.
2. Processor (CPU)
Core i5/Ryzen 5 au zaidi ni bora kwa kazi nzito...