kunuka mdomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hofu ya kunuka Mdomo: Ni sayansi au kichaa?

    Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu. Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo. Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na mdomo. Kila wakati najinusa na kujipiga mouth wash. Kuna wakati nilifukuzwa na mama mwenye nyumba...
  2. O

    Kunywa maziwa na kunuka mdomo?

    Ni kwanini wakuu? Kuna mtu akinywa maziwa ni mtihani kwa kinywa
  3. Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

    Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani. Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia...
  4. Tiba ya harufu mbaya ya kinywa

    Naomba msaada nimetumia dawa na hospitali zote kupata suluhu ya harufu mbaya ya kinywa. Naswaki vizuri ulimi, meno na kwa dawa mpaka za 50k. Nimetumia karafuu, tangawizi na aina nyingine za madawa ya dukani na asili ila changamoto ipo pale pale nikiongea na mtu anakimbilia kushika pua na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…