Ushawahi kujiuliza nini hutokea unapomuamini Mungu kwa asilimia mia moja? Ngoja nikupe stori moja hivi.
Tunarudi katika karne ya 19 huko Bristol nchini Uingereza kulikuwa na mwanaume aliyeitwa kwa jina la George Muller. Huyu mwanaume aliamua kuanzisha kituo cha watoto yatima na tangu...