Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za KMT, kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, binadamu wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima kwa ubinaadamu wake, asitweze utu wake!, hivyo...