kukosa uvumilivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabia ya kukosa uvumilivu (Low Frustration Tolerance & Impatience)

    Ni hali ya mtu kushindwa kuvumilia hali zisizoendana na matarajio yake, kukasirika haraka, kukata tamaa kirahisi, au kutaka matokeo ya haraka bila kujali mchakato. Mara nyingi mtu wa aina hii hukosa pia shukurani – haoni uzuri wa juhudi wala hazijatosha kamwe. --- 🔍 VIASHIRIA VYA MTU MWENYE...
  2. Jifunze kuwa mwenye shukrani na mvumilivu

    Kukosa uvumilivu husababisha kuvunjika moyo haraka sana kwa sababu matokeo mara nyingi yanakuwa tofauti na matarajio yetu hiyo huwa ni kawaida kabisa kwa watu wengi ulimwenguni. Usihisi umerogwa na ukakimbilia mafuta ya upako na tunguli za Waganga) Usivunjike moyo pale unapoona umefanya kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…