kukodisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Nauza au kukodisha Pick Up Nissan Single Cabin usajili ni DBW

    Nauza au Kukodisha pick up Single cabin Imenunuliwa 2014 ikiwa mpya kutoka South Africa. Namba ya Usajili T4....DBW Kwa Yoyote atakaye hitaji napatikana kwa 0767 848423
  2. Je unauza au kukodisha Gari na umekosa wateja Tumia njia hii ni bure

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza watu wengi sana wamekua wakipata ugumu Hasa linapokuja swala zima la kutafuta mnunuzi au mtu anayetaka kukodisha gari yake. sasa leo Nitakufahamisha njia rahisi sana ambayo haihitaji gharama yoyote ile. sio kwamba hakuna wateja lahasha bali unakosa mbinu...
  3. Biashara ya kukodisha ukumbi kwa shughuli mbalimbali

    Ndugu wadau nimeleta uzi huu ili mimi na wale wote wanao ifahamu vizuri hii fursa. Maana kila kukicha kuna sherehe kuanzia birthday mpaka harusi na mikutano.Nina maswali kadhaa; 1. Ukubwa(sq metres) za ukumbi unao beba watu 100. 2. Parking itakayo takiwa kuachwa kwa angalau ukumbi au garden...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…