kukarabati barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wananchi wajitolea kukarabati Barabara inayounganisha Kata ya Kandawale na Njinjo wilayani Kilwa

    Hii ni barabara inayounganisha Kata ya Kandawale na Njinjo na kuelekea Kilwa-masoko(wilayani). Barabara hii inahudumiwa na TARURA lakini kwenye uhalisia haipati huduma ya kuboreshwa miaka 10's sasa mbali na mchango mkubwa wa mapato tunaochangia wananchi wa kata hii kupitia mazao tunayolima...
  2. PreGE2025 Serikali yaidhinisha bilioni 30 kukarabati barabara Ifakara – Mlimba kwenda mkoa wa Njombe

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
  3. Naibu Waziri Katimba: Serikali Itaendelea Kutenga Fedha ya Kukarabati Barabara Korofi Nchini

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kutenga fedha ya ukarabati wa barabara korofi nchini zilizoathiriwa na Mvua za El - Nino...
  4. Serikali huu ndio muda wa kuzibua na kujenga mitaro pamoja na kukarabati barabara mbovu, msisubiri mvua zifike muanze visingizio na maigizo

    Wakuu salam, Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa. Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…