kukamilisha mradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  2. Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  3. PreGE2025 Mtendaji Mkuu wa TANROADS afanya ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi kukamilisha mradi kwa wakati

    Tarehe 16 Juni 2025, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mha. Mohamed Besta amefanya Ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi anaetekeleza Ujenzi wa Uwanja huo (CHICO) kuhakikisha anakamilisha kazi za kufunga taa za kuongozea Ndege pamoja na Kumalizia...
  4. Kampuni za ujenzi barabara za mwendokasi zaomba kuongezewa muda wa kukamilisha mradi huo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, leo Jumatano Machi 26, 2025, ameongoza kikao muhimu kati ya viongozi wa serikali na viongozi wakuu wa kampuni za wakandarasi zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Nne (BRT4), madaraja pamoja na barabara nyingine...
  5. PreGE2025 Baba Levo na kampeni ya mama hana deni, Bilioni 56 zatolewa kukamilisha mradi wa umwagiliaji Iringa

    Kampeni ya Mama Hana Deni inayoongozwa na Msanii na Mtangazaji Baba levo imefika kwenye mradi mkubwa na wa kisasa wa Umwagiliaji Mkoani Iringa na kushuhudia namna ambavyo maji yanasafilishwa kwa zaidi ya kilometa 20 kuyafuata mashamba ya mpunga ya Wananchi wakulima Mkoani humo. Zamani wakulima...
  6. Naibu Waziri wa Maji, Kundo A. Mathew achukizwa na Mkandarasi kuchelewesha mradi wa Maji Monduli

    Naibu Waziri Waji, Kundo amechukizwa na kucheleshwa kwa mradi wa maji, Mradi uko asilimi 12.8 na mkadarasi hana uhakika kama Certificate wamesharise, Mkandarasi kasema mpaka acheki na ofisi, Waziri wa maji amemuhoji kuwa kasema yeye ni Eng. ila hata kuraise Certificate hajui mpaka acheki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…