"Kukamatwa kwa ndugu Lissu ni muendelezo wa kukosa ustahimilivu wa dola na serikali, ni shambulio la wazi la demokrasia ya vyama vya upinzani, natumia nafasi hii kulitaka jeshi la polisi kumuachia maraa moja bila masharti yoyote ndugu Tundu Lissu" - Isihaka Mchinjita, Waziri Mkuu kivuli, ACT...