Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wananchi kutumia njia rahisi za kiteknolojia kuhakiki taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi ujao.
Akizungumza leo Aprili 14, 2025 na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mwenyekiti wa Tume...