kufungiwa mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida: Nilishawahi kusema Mtandao wa X ufungwe ila watu walinibeza

    Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida akiongea hivi karibuni kwenye mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ameendelea kushikilia msimamo wake wa kufungia mtandao wa X ambao aliutoa miezi kadhaa iliyopita "Nilishawahi kusema Mtandao wa X ufungwe ila watu walinibeza bila kujua nini nilichokuwa namaanisha...
  2. Watanzania wamefungiwa Internet sababu ya Uchaguzi

    Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu. Hapa Kenya internet haijawahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…