kufungia mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Thabit: Kama Marekani walifungia tiktok kwa manufaa yao, na sisi kwanini tusifungie?

    "Kama Biden aliweza kuufungia mtandao wa Tiktok ukiwa hauendani na Propaganda zao kwa sababu maudhui ya TikTok ni ya china, pia hii Instagam, Twitter na Facebook haziendani na sisi tuzitie Ban zina madhara"-Mohamed Thabit - Mshiriki.
  2. Ni mitandao ipi ya kijamii inayolipa 'User Accounts' wenye views au followers wengi hapa Tanzania?

    Habari Husika na heading above wakuu… naomba kwa mwenye uelewa kuhusiana na title juu hapo, ni ipi inalipa moja kwa moja na malipo yawe cash au hata bank? Asante, karibu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
  3. Nipo nawasiliana na Wanasheria wangu , ninampango wa kwenda kuishitaki Serikali kwa kuifungia Facebook na kunisababishia hasara kubwa siku ya leo

    Wakuu , huu upumbavu hauvumiliki Jumatatu nategemea kufungua shauri mahakamani kwa ajili ya kuishitaki Serikali kwa kunisababishia hasara katika biashara zangu. Ushahidi ninao Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wajinga ambao hawajitambui wanafanya lolote wanalohitaji Sisi wafanyabiashara tunalipa...
  4. Kuliko Kufungia Mitandao ya Kijamii Tanzania, Serikali, CCM na Polisi Tanzania jitoeni kwenye hiyo mitandao, Msiitumie, Acheni kuwatesa Wananchi

    Unakereka na Machapisho ya X jiondoe ili Usiwe unayaona, na watu wasikuite uone !!. Kwa mf, Kurasa za Rais Samia, CCM, Jeshi la Polisi, Kurasa zote za Serikali Kuu ,Tamisemi ,Taasisi za Serikali n.k ,Jiondoe kwenye mitandao kijamii !!. Mnashindwa Kuajiri Vijana makini wenye Uwezo katika...
  5. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

    Hali si Hali nchini Tanzania. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X. Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…