Rwanda ilifungia makanisa 8000 ambayo yalikuwa yanaendesha shughuli zake kihuni. Mungu wa mbinguni yupo, na nina imani uamuzi ule Mungu aliukubali kabla hata serikali haijautoa.
Kanisa LA Gwajima ambalo linatumika kama pango LA kihalifu kutukana serikali, viongozi, na kuchochea uvunjifu wa...