kufunga mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Kufungwa mtandao ni kosa kubwa sana

    Katika hari ambayo inaendelea tanzania. Maandamano yanazid kutanuka kimipaka. Nawalaumu washauri wa mama na naamini hawampendi au hawamtaki kabisa ndio manaa wanashauri haya 1. Kufungwa kwa mtandao kunazolotesha uchumi kwa vinaja au jamii kubwa ambayo imejiajir kupitia mtandao. Hawa watu njaa...
  2. Serikali ya CCM inaogopa kufunga mtandao wa instagram sababu wasanii wao wapo huko

    Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi. Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF. Sasa siasa imeamia instagram na facebook na huko ndio kuna wasanii wao 😂. Karma karma sasa fungeni wawa geuke
  3. PreGE2025 Napendekeza Tanzania iufunge Mtandao wa TikTok

    Watumiaji wengi wa TikTok hawana maadili. Badala ya kumfungia mtu mmoja mmoja, ni afadhali wakafungia mtandao, hadi pale elimu itakapotolewa kuhusu matumizi ya mtandao huo. Binafsi sina account ya mtandao lakini kwa video zinazotumwa kwenye mitandao mingine kutoka kwa watumiaji wake; inaonesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…