Ndugu wananchi wenzangu,
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole kwa yote yaliyotukuta. Mungu awalaze pema vijana wetu waliopoteza maisha kwenye harakati hizi za uchaguzi haramu.
Vile vile napenda kuchukua fursa hiii kuzungumza nanyi kama ndugu, marafiki na kizazi kinachobeba matumaini ya...