Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) imetoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa uchangiaji figo kwa Wagonjwa wanaohitaji huduma ya kupandikiza viungo hivyo, kufuatia taarifa zinazozunguka kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Septemba 2, na Mkuu wa Kitengo...