kubebwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

    Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema. Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
  2. JamiiForums Tanzania Taifa letu lina mgogoro gani mkubwa mpaka mnataka maridhiano? Au mazoea ya siasa za kubebwa ndio inawasumbua

    Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa. Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi? Zuio la...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ubunge wa kubebwa ndiyo chanzo cha Spika Ndugai kuwaelekeza Wabunge?

    Ukisikia Bunge halina mvuto ni Bunge hili lililosheni wabunge wengi wa CCM, wabunge wa upinzani kiduchu Sana, wabunge hewa kama wanavyojulikana covid-19. Mvuto umekosekana hata kama Bunge ni live Wananchi hawafuatilii mijadala Bunge kama ilivyokuwa enzi Samwel Sitta au Anna Makinda. Wabunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…