kuachia madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kichekesho: Kama Oktoba 29 Rais Samia angeamua kuachia madaraka, tungeshudia ngumi unlimited za kugombania vyeo

    Nawaza tu hapa. Kama Rais Samia angesema hataki kashikashi tarehe 29 angekaa pembeni na kusema nawaachia hicho kiti aiseee ngumi zingepigwa sana miongoni mwa wapinzani. Yaani mpaka Mange Kimambi naye angesema Urais apewe yeye, huku Zitto Kabwe naye angejitangaza, kule Lissu angejiapisha...
  2. Gen z sahauni kiongozi kuachia madaraka kwa maandamano yenu ya kubeba mabango ya mabox mlochora na makapen

    Wakuu huu ni ukweli mchungu kiongoz kama rais sio mchezo kumtoa mzee tusijidanganye na tusifarijiane hilo jambo haliwezekan na halitowezekana kwa stail ya maandamano ya aman zaid ni kupoteza muda tuh kwa kubeba mabango mliyochora na makapen mtachelewa sana
  3. PostGE2025 Njia ya kumaliza maandamano, sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza

    Njia ya kumaliza maandamano sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza ikiwemo muuaji kuachia madaraka hata tutawala kamwe. Na hakuna mtu wa kutubabaisha babaisha tunachukua nchi yetu.
  4. Tanzania Inahitaji Ujasiri Mpya: Kwa Nini Wakati Umefika wa CCM Kuachia Madaraka kwa Amani. Je ni baada au kabla ya uchaguzi?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
  5. K

    Unajua kwanini serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi?

    Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua, ufisadi, kuficha mali nje ya nchi na mengineyo mengi. Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani...
  6. PreGE2025 Ezekia Wenje: Msimshangae Mbowe, mbona Nyerere alikaa Madarakani muda mrefu zaidi

    Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwalimu Julius Nyerere alihudumu madarakani kwa muda mrefu zaidi kuliko Freeman Mbowe. Pia, Soma: - Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa' - Wenje: Mwaka 2020 tulimpitisha Lissu kwenye Urais...
  7. Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi

    Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi watapoteza imani Lakini pia CHADEMA itapuuzwa na CCM pale itakapokuwa ikiwanyooshea kidole kwa madai...
  8. PreGE2025 Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa uwezekano wa Viongozi kung'angania madaraka na kuandaa Viongozi wapya, kupatikana kwa mawazo mapya na...
  9. Raila Odinga ni Kiongozi wa Chama chake tangu zama za Moi, nani asiyejua Mchango wa Raila kwenye Demokrasia ya Kenya?

    Kwa siasa za Kenya Raila Odinga ndio kiongozi wa Chama chake tangu nyakati za Moi, akaja Kibaki, akaja Uhuru Kenyatta na sasa William Ruto na hakuna tatizo kabisa make anasimamia idea yake. Nani Kenya asiyejua mchango wa Raila Odinga kwenye Demokrasia ya Kenya? Mbona yeye hajawahi achia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…