Heshima kwenu wakuu.
Nilianzisha uzi hapa "huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa" na kweli nilipanga kuacha kazi baada ya kuona mshahara hautoshelezi mahitaji yangu na familia kwa ujumla.
Lakini kutokana na baadhi ya michango yenu hasa mlioniambia nisiache kazi bali nitafute namna yeyote...