Neno 'Glow' limeshika kasi kwenye tasnia ya urembo, wauzaji wa vipodozi wanauza wakisema ukitumia utaglow, huku na watumiaji wakionesha ngozi zao kuwa zimeglow.
Cha ajabu wapo ambao wanashare video huku nyuso zikiwa zimenona futa kama wametoka kukaangwa au kulowekwa kwenye mafuta ya yile Mtume...