Taasisi yangu wanahitaji fundi mchomeleaji mwenye cheti cha long course ambayo ni miaka 2 na mimi kutokana na swala la ada kusomea kozi ya miaka 2 sina.
Ila nahitaji kujua kuchomelea na ufundi kwa ujumla kwanza napenda hiyo kazi je, nifanyaje au nitumie njia gani kuweza kujua maana miaka 2 ni...