kobe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, Kobe Bryant alikuwa sahihi kumkiss mdomoni mwanae wa kike?

    Mjadala mkali umezuka mitandaoni kuhusu tabia ya Kobe Bryant kum-kiss mdomoni hadharani mwanae wa kike, Gianna. Je, Kobe alikuwa sahihi kumfanyia hivi mwanae? Wawili hawa wamefariki dunia kwenye ajali 26/01/2020.
  2. JamiiForums Tanzania Tunafahamu nini kuhusu Sikorsky S-76B: Helikopta iliyomuua Kobe Bryant

    Kobe Bryant amekuwa akitumia helikopta ya aina ya Sikorsky S-76B tangu alipokuwa akichezea Los Angeles Lakers. Ndio iliyomuua. Mamlaka ya kufuatilia shughuli za anga inasema helikopta hiyo ilitumika mara kadhaa wiki chache zilizopita. Helikopta imetengenezwa na kampuni ya Sikorsky, ambayo ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kobe Bryant dies in a plane crash

    Mcheza Kikapu mstaafu nchini Marekani, Kobe Bryant 'Mamba' amefariki katika ajali ya Helikopta iliyotokea leo huko California. Kobe mwenye miaka 41 akiwa na binti yake Gianna walikuwa miongoni mwa watu watano walikuwa wanasafri katika helikopta hiyo inayomilikiwa na Kobe ambayo imeanguka baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…