kliniki za ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yajipanga kusogeza kliniki za ardhi katika michezo

    Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) ili kuzidi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Kliniki za ardhi zaanza kwa kasi nchi nzima

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia Ofisi za Makamishna wa Ardhi Wasaidizi nchini, inaendesha Kliniki za Ardhi kuanzia tarehe 22 Septemba hadi 3 Oktoba 2026. Kupitia Kliniki hizo, wananchi watapata fursa ya kupata huduma mbalimbali za ardhi kwa urahisi na kwa wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…