Nimepita mida hii maeneo ya Vingunguti kuna moshi mkubwa sana angani ukitokea maeneo kilipo kiwanda cha jambo na watu wengi sana wafanyakazi na wananchi wengine wakiendelea kushuhudia kiwanda hicho kikiteketea kwa moto
===
Moto mkubwa umezuka mchana huu katika Kiwanda cha kuzalisha plastiki...