Habari za Tanzania !
Hivi nyinyi watu wa Mkoa wa Mara mmeamua kwa dhati kabisa Kiwanda Maziwa kiwafie kabisa ?
Haya sasa tutapata wapi Maziwa Mgando yenye vifungashio vizuri na matamu kweli dah.
Haya bana si ndio mambo yenu kuua viwanda vizuri na kuanzia viwanda vibanda vya kutuuzia maziwa...