Wakuu, nijitambulishe!
Kwanza awali ya yote naitwa AXIOM APEX VERBOSE
hii ndio ID pekee ninayoitumia JF sina ID nyingine ukiondoa hio.
Tuache hayo. Turudi kwenye mada.
Ninaomba kufahamu wewe hapo km wewe ni kitu gani ambacho hua kinakuudhi au kinakuchukiza sana ukifanyiwa au ukiambiwa...