kitu kimoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mama aliyezaa watoto7 akimbiwa na wanawe, aishia kutunzwa na mjukuu wa miaka8 - Kuzaa ni kitu kimoja na kupata furaha ya uzao wako ni kitu kingine!

    Mama amezaa watoto7 lakini hana hata wa kumjulia hali, tena katika maradhi yanayomsibu. Hivi kweli waafrika wa Tanzania tumefikia hatua ya kushindwa kulea wazazi wetu!? Yaani hii ni kinyume kabisa na mila na desturi zetu. Mgonjwa kiasi hiki kutelekezwa na watoto wake wa kuzaa! Inaumaaaa...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeamini CCM huwa kitu kimoja kwenye maslahi yao binafsi

    Nimeamini kwenye maslahi CCM ni kitu kimoja, sasa hii itakuwa kazi kubwa kwetu kuanzia sasa kupambana na kuiondoa CCM na wataondoka tu. Miezi michache iliyopita kulikuwa na bifu kubwa sana Kati ya Mataga(CCM ya mwendazake) na CCM asilia(ile ccm ya mafisi) , naiita CCM ya mafisi maana hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…