Mtume alishushiwa Quran miaka 600+ baada ya Uyahudi na Ukristo kuwepo.
Kwa mtindo wa Wahyi na mara 2 kwa kuonana ana kwa ana na Jibril.
Swali langu,
1. Imewezekanaje Quran kuwe na visa vya wana wa Waisrael. Ina maana na vywenyewe Mohamed alikuwa anaoteshwa?.
(Yona au Yunus, ibrahim , sodoma na...