kisukari

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Matibabu ya Kisukari yasihusishwe na Corona

    Waziri wa afya mh Ummy Mwalimu amewataka Wauguzi na madaktari kutowanyanyapaa wagonjwa wa kisukari kwa kuhofia huenda wana maambukizi ya Corona. Ummy amesema wagonjwa wa kisukari wapewe haki yao ya matibabu na kamwe matibabu yao yasihusishwe na Corona. Chanzo: Habari Leo Maendeleo hayana vyama!
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Kumekuwepo kilio na maswali mengi ya wadau mbalimbali wakitaka kujua masuala kadhaa kuhusu ugonjwa wa kisukari; tumetengeneza mnakasha huu ili kurahisisha majibu (si yote) kwa wenye uhitaji wa maswali yao. Zingatia: Ni vema kwenda hospitali kwa tiba ya uhakika, hapa utapata majibu yanayokupa...
  3. JamiiForums Tanzania Mtaalam: Mwanaume yoyote ukijigundua tu kuwa una kisukari jua ulishaanza au umeshaanza 'kuchapiwa' mkeo/ demu wako

    Tukiwa tunawaambieni kuwa pendeni kufanya mazoezi na acheni 'kufakamia' mivyakula yenu hiyo ya mafuta mafuta na kuishi kwa 'kubweteka' na mfanye sana mazoezi ili muwe 'fiti' kiafya kama akina GENTAMYCINE, huwa hamtuelewi na wengine mkidhani kuwa labda tunakuwa tunawaonea wivu na huo ulaji wenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…