kissa kasongwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    GE2025 DC Kissa: Kipindi hiki cha Uchaguzi tutawatumia Mgambo kutazama Usalama

    Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Akiba (Mgambo) kwenda kuwa wazalendo na nchi yao na kuilinda kwa wivu mkubwa ambapo pia ametoa ahadi ya serikali kuwatumia kwa ajili ya kutazama usalama katika kipindi cha uchaguzi. DC Kissa...
  2. Kusuasua kwa maradi wa Maji mkandarasi atakiwa kujieleza kwa DC

    Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe, Kissa Kasongwa, ameagiza mkandarasi wa mradi wa maji wa Ipelele kufika ofisini kwake haraka ili kutoa maelezo ya kina juu ya kusuasua kwa utekelezaji wa mradi huo, licha ya serikali kutoa fedha zote zinazohitajika. Akizungumza baada ya kusikiliza kero za...
  3. R

    DC Makete atoa onyo kwa wananchi kuacha wivu wa Misitu. Asema hasara imefikia Bilioni 80 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea kurudisha nyuma uchumi wa wanaMakete DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na wakazi wa Bulongwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…