Hapa ni njaa ndo imezidi na hili joto la Daslam, nilikuwa nawaheshimu sana hawa jamaa nimeamini njaa ni mbaya sana :AYOO:
-----------------
Umoja wa Rastafarians Tanzanian wamefanya matembezi ya amani ndani ya jiji la Mwanza kama njia ya kuenzi na kuhimiza mila, desturi, amani na upendo vigezo...