Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga .
Mkipata wekezeni
Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa
Watoto wenu mnawaacha katika umasikini.
Mkizeeka pia mnatia aibu.
Kuna mmoja ameona amefia huko majuu...