Wakulungwa natumai hamjambo,
Waliosema mjaa asili haachi asili hawakukosea....
Umri unaenda ila Mahaba ndo donda ndugu tena, tumegandana kama nyama na ngozi eehehehehehee, ngozi hiyohiyo unayoijua wewe ona mnavyotabasamu aahahahhahaaa tusidanganyane banaa Mahaba matamuuu 😋😋😋.
Aliimba Ali...